This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, 24 July 2014

Dk Shein ashiriki futari iliyoandaliwa na Makamo wa Rais Dk Bilal

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akijumuika na Waislamu na Viongozi mbali mbali katika futari iliyoandaliwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali jana katika viwanja vya Ofisi ya Makamo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja,(wa kawanza Kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Kabi   [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali akimkaribishaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana alipowasili katika futari aliyowandalia wananchi mbali mbali na Viongozi katika viwanja vya Ofisi ya Makamo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
 Wananchi walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana katika viwanja vya Ofisi ya Makamo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja,wakijumuika kwa pamoja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali ,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi na wananchi wakijumuika katika swala ya Magharibi jana kabla ya futari iliyoandaliwa na jana   katika viwanja vya Ofisi ya Makamo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alihudhuria futari ya Pamoja iliyoandaliwa na Rais Kikwete

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alihudhuria futari ya Pamoja iliyoandaliwa na Rais Kikwete kwa ajili ya Wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba hapo katika Majengo ya Ikulu ya Serikali ya Muungano yaliyopo Mjini Wete Pemba.

 Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba wakifutari pamoja hapo ikulu ya Wete futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamuhuri ya Mauungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akawakilishwa kwa niaba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ,Mhe. Mohd Aboud Mohd kati kati akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Dadi Faki Dadi kulia yake na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa wakijumuika na wananachi wa mikoa miwili ya Pemba kwenye futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akitoa shukrani kwa niaba ya Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dr. Kikwete mara baada ya futari ya pamoja kwa wananchi wa mikoa miwili ya Pemba.

Balozi Seif akiwaaga na baadhi ya wananchi wa mikoa miwili ya pemba waliohudhuria futari ya pamoja iliyoandaliwa na Rais Kikwete hapo Ikulu ya Wete Pemba.

Balozi Seif akiwaaga na baadhi ya wananchi wa mikoa miwili ya pemba waliohudhuria futari ya pamoja iliyoandaliwa na Rais Kikwete hapo Ikulu ya Wete Pemba.

Balozi Seif akibadilishana mawazo na mmoja wa watoto walioshiriki futari ya pamoja iliyoandaliwa na Dr. Mrisho Kikwete hapo wete Pemba.